EAC inajumuisha Burundi, DRC, Kenya, Rwanda, Somalia, Sudan Kusini, Uganda na Tanzania, na makao yake makuu yako Arusha, Tanzania.